Njia. Kweli. Uzima.

Bwana wetu Yesu aliposema, “Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba ila kwa njia yangu” Alikuwa akisema wokovu, ushirika na Baba, kufurahia ukweli, na maisha halisi yaliyojaa furaha na amani yanaweza kupatikana tu ndani yake na kupitia kwake!